×

Özil Afunga Ndoa na Amine, Rais wa Uturuki Ndo Best Man Wake

NYOTA ambaye ni kiungo wa Timu ya Arsenal, Mesut Özil jana amefunga ndoa na mpenzi wake Amine Gulse (Miss Uturuki 2014) katika Visiwa vya Bosporus nchini Uturuki.


Harusi hiyo iliudhuliwa na watu maarufu akiwemo Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan akiwa kama Best Man wa Ozil.

Imeelezwa kuwa zawadi zilizotolewa na wageni waalikwa kwenye sherehe hiyo zitapelekwa kwe charity  ili kusaidia  watu wenye mahitaji maalum na kusaidia afya ya upasuaji wa watoto 1000 kwenye nchi masikini.

 

Özil alianza kutoka na mrembo huyo mwaka 2017 na walikuwa wachumba rasmi Juni 2018.