Rais Magufuli kesho Juni 10, 2019 atawaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Lugha Bashungwa, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Charles Kichere na Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Dkt. Edwin Mhende