The House of Favourite Newspapers

JPM na Mkw Wamjulia Hali Mama Maria Nyerere

Mapema leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wamemjulia hali mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.

 

Comments are closed.