USIKU wa Jumapili Juni 24,2019 zilifanyika sherehe za utoaji wa tuzo za BET nchini Marekani ambapo mastaa mbalimbali walihudhuria tuzo hizo wakiwa wamevaa mavazi tofauti tofauti usiku huo, tumekuwekea baadhi ya picha za mastaa walioonekana kwenye Red Carpet Dj Khaled, Meek Mill, Ciara, Blac Chyna, Karrueche na wengine kibao

DOJA CAT

Rapa na Muigizaji TEQUAN RICHMOND

Afisa masoko KAREN CIVIL

Muigizaji RJ WALKER

Rapa RICK ROSS katika pozi
Mwanamuziki JIDENNA akionyesha mitindo mikali

Mwanamitindo KARRUECHE na mpenzi wake VICTOR

Rapa TYGA akiwa kwenye zulia la blue

Muandaaji wa muziki marekani DJ KHALED

Mwanamitindo BLAC CHYNA

Mwanamuziki CIARA

Kundi la MIGOS

Rapa MEEK MILL