×

JPM Ateua Kamishna Mamlaka Ya Usimamizi Wa Bima

Rais Magufuli

Rais Magufuli amemteua Dkt. Mussa C. Juma kuwa Kamishna wa Mamlaka hiyo (TIRA) kuanzia Jana Juni 25, 2019

– Anachukua nafasi ya Dkt. Baghayo Abdallah Saqware ambaye uteuzi wake umetenguliwa