The House of Favourite Newspapers

VIDEO MPYA: DOGO JANJA – KISHADA

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleve, Dogo Janja baada ya kufanya vizuri na ngoma ya ‘Yente’ sasa amatuleteea zawadi nyengine ya video ya wimbo wake mpya wa ‘Kishada’ Unaweza kuusikiliza kupitia +255 global radio pia kutazama video kwenye Global Tv.

Pakua App ya +255 Global Radio ili Kusikiliza Vipindi vyetu, Bofya HAPA KUINSTALL APP 

Comments are closed.