Klabu ya Atletico Madrid imemuamuru Antonie Griezmann kufika klabuni hapo Jumapili kwa ajili ya maandalizi kabla msimu mpya haujaanza. Klabu hiyo imeeleza kukerwa na namna Barcelona FC ilivyoanza mazungumzo na mchezaji huyo, katikati ya msimu.