The House of Favourite Newspapers

RAPA A$AP ROCKY AZIDI KUSOTA RUMANDE

Image result for a$ap rocky

RAPA  kutoka Marekani A$AP Rocky anaendelea kusota rumande baada ya Mahakama Kuu nchini Sweden kutupilia mbali ombi lake la dhamna jana.

 

Mtandao wa Daily Mail umeripoti kuwa Mahaka hiyo imeamua kwamba rapa A$AP Rocky ataendelea kushikiliwa na polisi kwa wiki mbili huku upelelezi ukiendelea kuhusu tukio ilo la kumpiga shabiki june 3o mwaha huu.

MAJERUHI WA AZAM HOI KITANDANI AZUNGUMZA – VIDEO

Comments are closed.