VIDEO: Duh! DIAMOND Amjibu ZARI, Kuhusu KUOLEWA, Eti Sijaongea na Watoto Miezi 9?
Global Publishers July 22, 2019
SHARE THIS:
Mwanamuziki Diamond Platnumz, amepiga stori na Global TV na kuzungumzia ishu mbalimbali ikiwemo ndoa ua mzazi mwenziye, Zari The Boss Lady… Aidha Diamond amefafanua kuhusiana na suala la kudaiwa kutoongea na watoto wake kwa muda wa miezi tisa.