Sheikh mkuu mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke ametangaza Ibada ya Eid Alhaji kwa mkoa wa Mwanza mwaka huu itaswaliwa katika uwanja wa Nyamagana siku ya Jumatatu majira ya saa 1:30 asubuhi.