
Taasisi ya Global Education Link ambao ni mawakala wa vyuo vya nje ya nchi leo imewafanyia mahafali ya kimataifa wanafunzi iliyowaunganisha na vyuo vya nje na kufanikiwa kupata shahada mbalimbali.

Mahafali hayo yamefanyika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City, Dar ambapo Mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Prof. Palamagamba Kabudi ambaye aliipongeza Global kwa mpango wake wa kuwarahisishia Watanzania kusoma nje ya nje.






