×

JP Apokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi Watano Ikulu – Video

Balozi mteule wa Zimbabwe nchini Tanzania, Meja Jenerali Anselem Nhamo Sanyatwe, amekabidhi hati za utambulisho kwa Rais Magufuli leo Agosti 29 Ikulu Jijini Dar es Salaam.