The House of Favourite Newspapers

Kevin Hart Ajeruhiwa Vibaya kwa Ajali ya Gari

 

Wawili hao walikimbizwa  hospitali, ikiwa ni baada ya Kevin kujinasua katika gari hilo na kwenda kupata matibabu katika makazi yake.

 

Hart alilinunua gari hilo mwezi Juni mwaka huu akijizawadia kutimiza miaka 40 ya kuzaliwa kwake.

Katika posti yake kwenye mtandao wa Instagram, Jumamosi, aliandika kwamba alikuwa amefurahi kutosafiri kwenda popote wakati wa wikiendi ambapo aliandika:
“Being home makes me happy….enjoy your weekend people!!!! #LiveLoveLaugh.” 

Comments are closed.