×

VIDEO: TAZAMA JPM ALIVYOSHTUKIZA KITUO CHA POLISI SALENDER

Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania John Magufuli amefanya ziara katika kituo cha Polisi Salender na kuzungumza na baadhi ya Askari kituoni hapo.