WAFURAHIA INTANETI YA BURE MKUTANO WA MAWAZIRI SADC
Global Publishers September 18, 2019
SHARE THIS:
Ofisa Mawasiliano wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Innocent Mungi, akipata maelezo kutoka kwa mfanyakazi wa Tigo juu ya huduma mbalimbali zitolewazo na kampuni hiyo wakati wa mkutano wa mawaziri wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc). Kampuni ya Tigo imedhamini huduma ya intaneti bure (Wi-fi) yenye spidi ya 4G+.Mshereheshaji maarufu nchini katika shughuli za kiserikali, Peter Mavunde, akipatiwa huduma wakati wa mkutano huo wa Sadc.Katibu wa Mamlaka ya Usafirishaji wa anga Tanzania (TCAA), Vallery Chamulungu, akipata huduma katika mkutano huo wa Sadc ambapo kampuni ya Tigo imedhamini huduma ya intaneti bure (Wi-fi).