![]()
MKONGWE wa muziki nchini Marekani, R Kelly jana alifikishwa mahakamani ili kusikiliza moja ya kesi yake zinazomkabili ambapo kwa mara ya kwanza alikuwa na mavazi ya wafungwa tangu alivyokamatwa mwezi Julai mwaka huu.
![]()
Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa mwanamke mmoja aliyekuwa akimsaidia mwanamuziki R Kelly kwa kumlipia pesa ya dhamana ameibuka na kudai alipwe pesa zake. Mwanamke huyo amefunguka kuwa aliamua kumlipia pesa ya dhamana mwanamuziki huyo kwa sababu alikuwa anaamini hana hatia.
.