×

Breaking News: Coco Beach yawaka moto

Moto mkubwa unaendelea kuwaka katika fukwe za Coco Beach, Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana, jitihada za kuuzima zinaendelea. Endelea kufuatilia taarifa zetu.