×

Baraka Magufuli Atoa Agizo kwa Mabaharia – Video

MUIGIZAJI wa Filamu Bongo, Daudi Michael ‘Duma’, usiku wa kuamkia leo, Septemba 29, 2019 amezindua filamu yake mpya katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

 

Mastaa mbalimbali wamehudhuria uzinduzi huo akiwemo Mama wa mwanamuziki Diamond, Bi Sandra na mpenzi wake, Shamte. Lakini pia mchekeshaji anayeigiza sauti ya Rais Dkt. John Magufuli aitwae Baraka Magufuli.