×

VIDEO: Yanga Wafunguka Kumkosa Kocha Kesho Dhidi Polisi Tanzania


Timu Yanga imesema kuwa kesho itamkosa Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera kwa kuanza kutumikia adhabu ya kukosa mechi tatu hivyo kesho hatokaa katika benchi kuiongoza timu ya Yanga kuivaa Polisi Tanzania.