Watoto wa Kim Kardashian Wabatizwa Armenia Global Publishers October 17, 2019 4,616 views SHARE THIS: Kim Kardashian na watoto wake watatu wamebatizwa wakati wa ziara yao huko Armenia. Nyota huyo mwenye miaka 38 amesambaza mtandaoni picha za watoto wake wote wanne, akiwa amembeba Psalm mwenye umri wa miezi mitano. Matukio katika picha: SHARE THIS: