×

MAGAZETI OCT 29: SHEIKH MKUU ATOA MSIMAMO NDOA KWA MTOTO WA KIKE

Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakari Zubeir amesema kwa dini ya kiislamu, mtoto wa kike akivunja ungo,anaruhusiwa kuolewa ikihitajika kufanya hivyo.