×

Zabibu Kiba Ajifungua Kidume

DADA wa mwanamuziki Ali Kiba, Zabibu Kiba siku ya leo yeye na Mume wake wamebaatika kupata Mtoto wa kiume. Kupitia Insta Story yake, Zabibu ameposti picha ya mkono wa mtoto wake na kuandika ‘baby boy’ hali inayoashiria moja kwa moja kuwa amejifungua.

Hongera sana #zabibukiba na #AbdiBanda.