Binti Yake Kwenda Chuo Kikuu, Afande Sele Achinja Mbuzi – Video
MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Selemani Nyandindi almaarufu kama Afande Sele, ameangusha bonge la Pati na kuchinja mbuzi akisheherekea matokeo ya binti yake, Tunda ambaye mwaka huu (2019) amehitimu kidato cha sita na kuchaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA) kilichopo mjini Morogoro.
Comments are closed.