×

VIDEO: Diwani Ngarenaro Amjibu Meya Chadema Aliyetimukia CCM

BAADA ya Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro (Chadema),  kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo,  na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), Diwani wa Kata ya Ngarenaro (Chadema), Isaya Doita, ametoa maoni yake juu ya uamuzi wa  meya huyo aliyekuwa diwani wa Kata ya Sombetini.

Tazama video