×

Christmas Market Festival Kutikisa Dar

KWA mara ya kwanza Dar es Salaam itashuhudia festival ya soko lenye bidhaa zote za Msimu wa Krismas katika Viwanja vya Makumbusho ya Taifa (Opposite na Chuo cha IFM) Mtaa wa Shaaban Robert.

 

Kutakuwa na maduka zaidi ya 40 yenye bidhaa mbalimbali, kutakuwa na vyakula vya kila aina na michezo ya watoto ya kila aina, ukiwemo mchezo maarufu wa Jumping Castle.

 

Kuanzaia TAREHE 14 – 15 DESEMBA 2019! Milango itafunguliwa saa 2:00 ASUBUHI.

HAKUNA Kiingilio.

Kushiriki, wasiliana nasi kwa namba: 0688 818087, 0655 44 11 65
FACEBOOK: Johnson P. Mwita
Instagram: @johnsarts
Twitter: @johnsarts

Leave a Comment