
Droo ya FA imechezwa leo Desemba 4, 2019 ikiwa ni hatua ya 64 bora mechi zinatarajiwa kuchezwa kuanzia Desemba 20-22.
Timu zitakuwa namna hii:-
Mbuni v KMC
Alliance v Transti Camp uwanja wa Nyamagana.
Ndanda v Cosmopolitan uwanja wa Nangwanda Sijaona.
Milambo v Ruvu Shooting FC uwanja wa All Hassan Mwinyi.
Mbao FC v Stand United uwanja wa CCM Kirumba.
Biashara United v Nyamongo uwanja wa Karume.
Mawenzi FC v Mtwivila City Uwanja wa Jamhuri
Morogoro.
Kitayosa FC v Mpwapwa United uwanja wa Mpwapwa.
Friends Rangers v Talinega FC uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.
Kasulu Redstars v Ihefu FC uwanja wa Sokoine.
Tofo Africa v Gipco uwanja wa CCM Kirumba.
The Might Elephant v Mashujaa FC.
Jeshi Worries v Dodoma FC uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Majimaji FC v Pamba FC.
Area C v Panama FC.
Gwambina FC v Mbeya Kwanza.
Geita Gold v Pan Afrika uwanja
Sahare All Stars v Njombe Mji
Rufiji United v Iringa United
Lipuli FC v Dar City uwanja
Kagera Sugar v Rufiji United uwanja wa Kaitaba
Tanzania Prisons vs Mlale FC uwanja Sokoine Mbeya.
Mtibwa Sugar v Rhino Rangers uwanja wa Jamhuri Morogoro.
Simba SC v Arusha FC uwanja wa Uhuru, Dar
Yanga vs Iringa United uwanja wa Uhuru, Dar.
Coastal Union v African Sports Uwanja wa Mkwakwani.
Namungo FC v Green Warriors uwanja wa Majaliwa Complex.
JKT Tanzania v Boma FC uwanja wa Meja Isamuhyo, Mbweni.
Azam FC v African Lyon uwanja wa Azam Complex.
Desemba 20 kuanza na timu 32 bora