×

Bombardier Iliyoshikiliwa Canada Yatua Mwanza – Video

Rais Dkt. John Magufuli, leo Desemba 14, amewaongoza mamia ya wananchi wa Kanda ya Ziwa na nchi nzima kupokea ndege mpya ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa nchini Canada kisha kuachiwa.

 

Ndege hiyo ambayo inafanya idadi ya ndege za ATCL zilizonunuliwa na Serikali tangu iingie madarakani miaka minne kufikia ndege 11, na imepokelewa kwa hafla fupi katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza.

 

Leave a Comment