×

VIDEO: SIMBA WATAMBA na VIWANJA Vyao Mechi Inachezwa na Mazoezi Yakiendelea


KIKOSI cha Simba jana Desemba 21, 2019 kimeendelea na mazoezi yake katika uwanja wa Bunju huku Timu ya Simba ya wanawake ikicheza mechi yao ya Ligi Kuu ya wanawake dhidi ya Marsh Queens.

Walichokisema Simba kupitia page yao ya Instagram;- Mo Simba Arena
Kuwa na uwanja raha sana, huku Simba Queens wanacheza mechi na uwanja mwingine timu ya Wanaume ikiendelea na mazoezi. Mambo haya kuna watu wanayaona tu hapa kwenye ukurasa wetu 😂

Leave a Comment