Msanii wa Bongo Fleva, Billnass ameshusha bonge la shoo kali katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini (TUDARCo) jijini dar es Salaam, wakati wa tukio la kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo hicho pamoja na ugawaji wa tuzo kwa wanafunzi wenye vipaji mbalimbali ikiwemo public speaking.