Rais John Magufuli leo Desemba 22, 2019 amemtembelea na kumjulia hali aliyewahi kuwa katibu wake, Gervace Makoye. Makoye amekuwa katibu wa Rais Magufuli kwa miaka 10 wakati akiwa mbunge wa Chato.