×

Rais Nkurunzinza Atangaza Kung’atuka Madarakani

RAIS wa Burundi, Piere Nkurunzinza, amebainisha msimamo wake wa kutogombea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, hatua ambayo imewashangaza raia wengi huku wapinzani wake wakijiuliza kama kauli yake itakuwa na ukweli.

 

Ameyasema hayo mwishoni mwa juma, mbele ya maofisa wa jeshi na polisi kwenye sherehe zilizokuwa zimeandaliwa kumtakia sikukuu njema za mwisho wa mwaka.

 

Hata hivyo, kuna uvumi kwamba kiongozi huyo ana nia ya kuwania kiti cha urais katika uchaguzi ujao.

Leave a Comment