Fainali za kumsaka mshindi wa Bongo Star Search zimefanyika leo Desemba 24, 2019 katika ukumbi wa Next Door Arena, na Meshack Fukuta, ameibuka kidedea akifuatiwa na Leonard Sunday pamoja na Frank.