×

Mama Rwakatare Kutoa Mtaji kwa Vijana Kesho Kanisani – Video

MCHUNGAJI wa Kanisa la Mikocheni B Assemblies of Gog ‘Mlima wa Moto’, Dkt. Getrude Rwakatare, ametangaza kutoa mitaji kwa waumini watakaofika kanisani kwake Jumapili ya kesho Januari 12, 2020.

Dkt. Rwakatare anatoa fursa hii kwa Watanzania kama sadaka yake ili kuinua uchumi wa wananchi kwa mwaka 2020.

Leave a Comment