×

JPM Aweka Jiwe La Msingi Shule Ya Sekondari Mwanakwerekwe Zanzibar -Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suliuhu Hassan na viongozi wengine wakipata maelezo juu ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar kabla ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.
Rais Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suliuhu Hassan na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolkojia wa Jamhuri ya Muungano Profesa Joyce Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma akikagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo.
Rais Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suliuhu Hassan na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolkojia wa Jamhuri ya Muungano Profesa Joyce Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma na Mwakilishi wa Benki ya Dunia akifunu pazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.
Rais  Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolkojia wa Jamhuri ya Muungano Profesa Joyce Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma wakipata picha na wanafunzi.
Rais Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suliuhu Hassan akimpongeza Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma akikagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo.
Rais Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolkojia wa Jamhuri ya Muungano Profesa Joyce Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anaendelea na ziara yake hapa Zanzibar ambapo anaweka jiwe la msingi la Shule ya Sekondari Mwanakwerekwe iliyopo Mjini Magharibi na Hoteli yenye hadhi ya nyota tano iitwayo Hotel Verde Azam Luxury Resort and Spa iliyopo Mtoni.

Leave a Comment