×

#Live: Rais JPM Azindua Nyumba za Askari Magereza Ukonga

Rais Dkt. John Magufuli leo Januari 23, 2020 anafungua majengo ya makazi ya Askari Magereza wa Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam.

Novemba 29, 2016 aliagiza kutolewa kwa shilingi Bilioni 10 kwa ajili ya kutatua tatizo la makazi la Gereza hilo baada ya askari hao kuomba wasaidiwe.

 

Leave a Comment