Kijana Tobias Minzi amesema kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Siro amemuita ofisini kwake na kumpongeza kwa kuchora picha yake kwa kutumia rangi.