×

Mwenyekiti Yanga Aitisha Mkutano Mkuu Dar

 

Mwenyekiti wa timu ya Yanga anapenda kuwatangazia wanachama wote kuwa kutakuwa na Mkutano Mkuu wa Dharura wa wanachma wa Klabu utakaofanyika Jumapili 16/02/2020 kuanzia saa nne asubuhi

Leave a Comment