×

SBL YAWAPA SHAVU WANAFUNZI WA KILIMO

Mkurugenzi wa SBL, Mark Ocitti akizungumza kwenye hafla hiyo.

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), jana imezindua mpango wa ufadhili wa masomo utakaowanufaisha wanafunzi 30 kutoka katika jamii ya wakulima hapa nchini kupata elimu ya ngazi ya chuo katika katika vyo vya ndani vinavyofundisha masomo ya kilimo.

Mpango huo ulizinduliwa jana Jumatano kutiliana na Mkurugenzi wa Serengeti Breweries Limited, Mark Ocitti na Mkuu wa Chuo cha Kaole Wazazi, Sinani Simba, kilichopo Bagamoyo, Pwani.

Matukio katika Picha:

Mkurugenzi wa SBL, Mark Ocitti (kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Kaole Wazazi wakitiliana saini za mkataba huo.
Wakibadilishana mikataba.
Picha ya pamoja baada ya baada ya mkataba huo

HABARI: NEEMA ADRIAN PICHA: RICHARD BUKOS/GPL 

Leave a Comment