MSANII Chipukizi wa Bongo Fleva, Nyasa Boy amevunja ukimya na kudai kuwa aliamua kuchora tattoo ya jina la msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shishi Baby’ maarufu akidai kuwa anampenda sana.
Shilole kwa sasa ameolewa lakini bado Nyasa Boy anampenda na anaamini kwamba ipo siku atakuwa naye kwenye mahusiano hata kama ni uzeeni.
