The House of Favourite Newspapers

Global Habari Feb 01: Serikali Imeboresha Kanuni Za Mazingira – Video

0


Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mussa Sima amesema Serikali imeboresha Kanuni za Usimamizi Elekezi wa Mazingira ili kurahisisha na kuharakisha utoaji wa vibali vya tathmini ya mazingira.

Sima ametoa kauli hiyo bungeni Dodoma wakati akichangia taarifa ya Kamati ya Viwanda, Biashara kwa kipindi cha Julai hadi Desemba 2019 ambapo pamoja na mambo mengine amezungumzia urasimu wa kutoa vibali.

Leave A Reply