×

JPM na Mkewe Washiriki Misa Takatifu Kanisa la Mtakatifu Petro Dar – Picha

Rais Magufuli akiwa na mkewe Janeth Magufuli wakati wa Misa Takatifu Dominika ya 04 ya Mwaka “A” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Janeth Magufuli pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki leo Febuari 02, 2020 wameshiriki Misa Takatifu Dominika ya 04 ya Mwaka “A” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa Parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi.

Leave a Comment