Mchezo wa Ligi Kuu Feb 7, 2020 Uwanja wa Uhuru Ruvu Shooting dhidi ya Yanga umekamilika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na David Molinga kwa pasi ya Ditram Nchimbi. Mchezo wa kwanza mzunguko wa kwanza Yanga ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0. Yanga imelipa kisasi leo.