Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva, mapema jana alizindua kisima cha maji safi kwenye shule ya msingi Toa Ngoma, iliyopo Wilaya ya Temeke, ambayo ni maalum pia kwa wanafunzi wasioona, ambao walikuwa wakisumbuliwa na tatizo la maji muda mrefu.
Mkuu huyo wa wilaya huyo ameangalia pia na ujenzi wa mabweni wa wanafunzi hao unaoendelea.
Na Imelda Mtema



