×

44 Waambukizwa Corona Meli, Abiria Wazuiwa Kutoka

WIZARA ya Afya ya Japan imethibitisha kuongezeka kwa watu wengine 44 wenye virusi vya Corona ndani ya meli ya Diamond Princess na kufanya idadi ya waathirka kwa Japan kufikia 218. Meli hiyo ipo chini ya uangalizi maalum wa siku 14, na abiria wametakiwa kubaki ndani ya meli hiyo.

 

Kufuatia maambukizi hayo, abiria wamesema kulazimishwa kubaki kwenye Meli hiyo kutawaletea madhara zaidi. Aidha, serikali ya Marekani imesema itawatoa raia wake kabla ya siku 14 za uangalizi.

Leave a Comment