Mwanamitindo maarufu Bongo, Fayma, Februari 14, 2020 ameamua kusheherekea sikukuu ya wapendanao kwa kutoa misaada kwa watoto yatima na kutoa mitaji ya biashara kwa wakinamama.