Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Nsa Kaisi aliyefariki dunia Alhamisi Februari 13, 2020 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alikokuwa akipatiwa matibabu mwili wake umeagwa leo.