Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize leo Februari 17, 2020 amefanya shoo mbele ya Rais Dkt John Magufuli akizindua kipindi cha pili cha awamu ya tatu ya TASAF katika ukumbi wa Mikutano wa JNICC jijini Dar es Salaam.