×

Morrison Aivuruga Bongo – Video

KATIKA Kipindi cha Soka Chap Chap kilichodhaminiwa na Starimes, Mchambuzi wa Soka, Saleh Jembe, amechambua asisti za mchezaji wa Yanga, Benard Morrison, pamoja na mechi kadhaa za ligi kuu zilizochezwa wiki hii.

Leave a Comment