×

Ng’ombe Mwenye Pembe Ndefu Zaidi Duniani

NG’OMBE  mmoja anayefugwa huko Albama nchini Marekani ameingia kwenye recodi ya kuwa na pembe ndefu kuliko wote duniani hadi leo, rekodi  iliyothibitishwa Mei 8, 2019.

Pembe zake  kutoka mwisho wa pembe moja hadi pembe nyingine zina urefu sm 323.74 sawa na mita 3.2.

Ng’ombe huyo yupo kwenye ranchi iliyopo Birmingham, Alabama na amepewa jina la Poncho Via.

Leave a Comment