×

Mambosasa Awatahadharisha Wazee wa ‘Tuma kwa Namba Hii’ – Video

GLOBAL TV Online imemtembelea ofisini kwake Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar ss Salaam, SACP Lazaro Mambosasa na kuzungumza naye kuhusu mambo mbalimbali ya kiusalama katika jiji hilo yakiwemo ya wizi wa kutumia laini za simu ambao licha ya serikali kufanya jitihada za kudhibiti kwa kuwataka wananchi kusajili laini zao kwa alama za vidole, lakini bado tabia hiyo imekuwa ikiendelea.

MAMBOSASA Afungukia ‘WAZEE wa TUMA PESA kwa NAMBA Hii’ – “ADHABU ni KUNYONGWA, Bado UNAUA”

Leave a Comment